M Mliogwa Member Joined Jun 6, 2024 Posts 41 Reaction score 47 Nov 13, 2024 #1 Your browser is not able to display this video. Your browser is not able to display this video. Zaidi ya wiki sasa Maji katika Mtaa wa Sabasaba Gula Road karibu na Uwanja wa Ndege yamekuwa yakimwagika kama hayana mwenyewe. SUWASA wamejulishwa ila hadi leo hawajafika na kuna maeneo mtaa huohuo hayana maji wakati upande wa pili yanamwagika hovyo. Warioba unakaa sana ofisini Vijana wako hawako makini na kazi yao upotevu wote huu nani atalipia? Hii sio sawa kabisa. Pia soma ~ SUWASA yarekebisha mabomba yaliyokuwa yanavuja Singida
Your browser is not able to display this video. Your browser is not able to display this video. Zaidi ya wiki sasa Maji katika Mtaa wa Sabasaba Gula Road karibu na Uwanja wa Ndege yamekuwa yakimwagika kama hayana mwenyewe. SUWASA wamejulishwa ila hadi leo hawajafika na kuna maeneo mtaa huohuo hayana maji wakati upande wa pili yanamwagika hovyo. Warioba unakaa sana ofisini Vijana wako hawako makini na kazi yao upotevu wote huu nani atalipia? Hii sio sawa kabisa. Pia soma ~ SUWASA yarekebisha mabomba yaliyokuwa yanavuja Singida