Musoma mjini tatizo la maji ni la Miaka mingi sana. Nakumbuka Miaka hiyo maji yalikuwa yanatoka bombani saa 8 usiku. Ule mjini kwa swala la maji na umeme Miaka hiyo lilikuwa sugu sana. Nakumbuka kulikuwa na mtambo mbovu mpaka wanafunzi wa Mara secondary walikuwa wanabeba makalai Yao ya kupakulia chakula wakawa wanafuata maji mwaloni mwisenge karibu na musoma hotel. Aibu sana, mji wenyewe watu kidogo tu na unazungukwa na ziwa Victoria lakini maji hakuna. ovyo sana. Viongozi wa kisiasa wa musoma wajuaji kama nini lakini maendeleo zero.