Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) yafuturisha watu 1500 Njombe

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakati mwezi wa funga ukielekea ukingoni ,Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Njombe imefutulisha watu zaidi ya 1500 wakiwemo madereva bodaboda, bajaji, wafanyabiashara ,viongozi wa dini na Serikali na kisha kutumia fursa hiyo kutoa elimu ya kodi kwa ajili ya ustawi wa nchi.

1742881896341.png

Specioza Owure ambae ni meneja wa TRA mkoa wa Njombe amesema mamlaka imeamua kutoa iftar hiyo kama sadaka kipindi cha mfungo jambo ambalo limekwenda sambamba na utoaji wa msaada wa chakula kwa wenye uhitaji ikiwemo sukari, mchele, unga wa ngano, mafuta ya kupikia ,tende , chumvi,viazi na tambi.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kwa upande wake mgeni rasmi wa iftari hiyo Mkuu wa mkoa wa Njombe Anthony Mtaka ameipongeza mamlaka hiyo kwa kutoa sadaka hiyo na kugusa makundi mblimbali hususani maafisa usafirishaji ambao amesema ndiyo wana jukumu kubwa la kulinda usalama wa nchi kwasababu wao ndiyo wanapokea na kusafirisha watu.

1742881935682.png
Mtaka ametua mwanya huo pia kuwataka wakazi wa Njombe kuacha tabia za mauaji ambayo kwa koasi kikubwa yanafanywa na ndugu kwa shinikizo la visasi na zuruma.

Awali shekh wa mkoa Rajab Msigwa na mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi CCM Deo Sanga wameendelea kuhimiza ulipaji kodi kwa kuwa ni miuongozi ya dini na serikali kwa ajili ya maendeleo ya taifa lolote.

1742881961691.png
 
Kwa hiyo Hao vizibo wanatumia Kodi zetu kufurahisha wafuasi wa DINI ya mudi ??..wakamatwe haraka sana
 
Mwaka huu taasisi za serikali zinashindana kutapanya in the name of kufuturisha.
Ukiangalia, watu wanaoalikwa kwenye futuru hizo, sio wahitaji ila ni cerebrities na watu maarufu.
Inshort huko sio kufuturisha bali kula pesa za umma in the name of kufuturisha.
 
Wakati mwezi wa funga ukielekea ukingoni ,Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Njombe imefutulisha watu zaidi ya 1500 wakiwemo madereva bodaboda, bajaji, wafanyabiashara ,viongozi wa dini na Serikali na kisha kutumia fursa hiyo kutoa elimu ya kodi kwa ajili ya ustawi wa nchi.

Specioza Owure ambae ni meneja wa TRA mkoa wa Njombe amesema mamlaka imeamua kutoa iftar hiyo kama sadaka kipindi cha mfungo jambo ambalo limekwenda sambamba na utoaji wa msaada wa chakula kwa wenye uhitaji ikiwemo sukari, mchele, unga wa ngano, mafuta ya kupikia ,tende , chumvi,viazi na tambi.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kwa upande wake mgeni rasmi wa iftari hiyo Mkuu wa mkoa wa Njombe Anthony Mtaka ameipongeza mamlaka hiyo kwa kutoa sadaka hiyo na kugusa makundi mblimbali hususani maafisa usafirishaji ambao amesema ndiyo wana jukumu kubwa la kulinda usalama wa nchi kwasababu wao ndiyo wanapokea na kusafirisha watu.

Mtaka ametua mwanya huo pia kuwataka wakazi wa Njombe kuacha tabia za mauaji ambayo kwa koasi kikubwa yanafanywa na ndugu kwa shinikizo la visasi na zuruma.

Awali shekh wa mkoa Rajab Msigwa na mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi CCM Deo Sanga wameendelea kuhimiza ulipaji kodi kwa kuwa ni miuongozi ya dini na serikali kwa ajili ya maendeleo ya taifa lolote.

😂😆🤣😅
WADANGANYIKA hapo kwishnei!
 
Hao kenge wanajichukulia hizi hela kama za kwao vile.. Kodi ni kwa ajili ya maendeleo na sio kufuturishana wala kutoa misaada nyinyi, misaada itatoka kwa mamlaka husika.

Sasa uliza bajeti ya hapo kufuturishana, watu wamekula futari haizidi hata milioni 5, utaambiwa milioni 150
 
Wakati mwezi wa funga ukielekea ukingoni ,Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Njombe imefutulisha watu zaidi ya 1500 wakiwemo madereva bodaboda, bajaji, wafanyabiashara ,viongozi wa dini na Serikali na kisha kutumia fursa hiyo kutoa elimu ya kodi kwa ajili ya ustawi wa nchi.

Specioza Owure ambae ni meneja wa TRA mkoa wa Njombe amesema mamlaka imeamua kutoa iftar hiyo kama sadaka kipindi cha mfungo jambo ambalo limekwenda sambamba na utoaji wa msaada wa chakula kwa wenye uhitaji ikiwemo sukari, mchele, unga wa ngano, mafuta ya kupikia ,tende , chumvi,viazi na tambi.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kwa upande wake mgeni rasmi wa iftari hiyo Mkuu wa mkoa wa Njombe Anthony Mtaka ameipongeza mamlaka hiyo kwa kutoa sadaka hiyo na kugusa makundi mblimbali hususani maafisa usafirishaji ambao amesema ndiyo wana jukumu kubwa la kulinda usalama wa nchi kwasababu wao ndiyo wanapokea na kusafirisha watu.

Mtaka ametua mwanya huo pia kuwataka wakazi wa Njombe kuacha tabia za mauaji ambayo kwa koasi kikubwa yanafanywa na ndugu kwa shinikizo la visasi na zuruma.

Awali shekh wa mkoa Rajab Msigwa na mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi CCM Deo Sanga wameendelea kuhimiza ulipaji kodi kwa kuwa ni miuongozi ya dini na serikali kwa ajili ya maendeleo ya taifa lolote.

Hii nchi haiishiei Maajabu. Myoza Ushuru anatoa sadaka.....!!?
 
RIP JPM Hawa jamaa zaizi wangekuwa washapigwa chini
 
Back
Top Bottom