Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) yamwaga ajira

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) yamwaga ajira

Mkuu hebu tuachane na mambo ya inbox ,, naomba nisaidie namna ya kufanya ili ni save taatifa zangu hasa hapa kwenye kipengere za academic qualification maana kila nikiweka taarifa na ku - upload file nikirudi nakuta hamna kitu ( yani pako wazi tu )
 
Fursa kama fursa au vipi....

Sema madogo siku hizi wazembe, kila kitu kulishwa. Hii kama mtu hawezi apply mwenyewe basi hata hiyo kazi hastahili
 
kama umepiga CPA vitu vya jawaida hv
Aseeh kwenye income tax, indirect tax, plus nyngn za bachelor mbn unaweza fanya

Mimi sijapiga akaunti pure Ila hizo nazifanya, najifunza humu jf kwa sana! Tally najua kutumia km 50%

Kitu nachotaka kujua kuandaa hesabu za Kodi vzr, financial statements hata kama zinatengenezwa na auditing company iliyopewa hiyo kazi...

Nakumbuka boss alinambia financial statements Mimi nikaandaa kwa knowledge ya chuo na kufuatisha previous one,

Oyaah hata wale auditors walinambia umeweza japo Kuna vingine vinahitaji adjustment kwanza lkn you tried kweli kweli so uthubutu tuu mkuu
 
Wapi unawek Chet cha ndoa mbon minaji race San vijan dah. Me mbon sijaon hio option.
Na pia nauliza wadau kusem km umeoa haiwez kuleta shida baadae au bor kuwek single Tu
 
Hakuna ila kwenye kufanya attachment sometimes inazingua unakuta mwingine hana hata cheti cha ndoa na ukisema married inabidi uthibitishe kama ni kweli.
Owkey ina onekana wakati wa oral interview wana weza kuomba ushahidi wa cheti cha ndoa mkuu.
 
Watafuta ajira walee nawaona tuuh jinsi mioyo yenu inavyoenda mbio.polen sana ila pambanieni iyo fursa
 
Tunashukuru TRA kwa kumwaga ajira..ombi langu mtandao wao wa maombi unasumbua kweli nilikuta vijana wanajifyonza tu eti mtandao ni shida...sasa nikajiuliza ajira zimetoka halafu mtandao ni shida je hii ni janja ya kupunguza waombaji?
 
Back
Top Bottom