Mamlaka ya Mapato Uganda yamtaka Bobi Wine kurejesha gari lake baada ya kubaini lilikuwa na thamani kubwa kuliko iliyotajwa awali

Sam Gidori

Senior Member
Joined
Sep 7, 2020
Posts
165
Reaction score
417
Mamlaka ya Mapato Uganda imemtaka aliyekuwa mgombea wa upinzani katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 nchini Uganda, Robert Kyagulanyi, Bobi Wine, kurudisha gari lake jipya alilonunua ambalo haliruhusu kupenya risasi, ikisema gari hilo liliruhusiwa mpakani kimakosa

Mapema juma lililopita, Bobi Wine aliwaambia wafuasi wake kuwa amefanikiwa kununua gari aina ya Toyota Land Cruiser V8 baada ya kukusanya michango ya wafuasi wake ndani na nje ya Uganda, na lilikuwa aina ya gari lisiloruhusu kupenya kwa risasi. Hii ilikuwa baada ya Mamlaka ya Mapato kutoa kibali kwa gari hilo na kumruhusu Bobi Wine kulitumia.

Car.png

Sasa URA inasema kuwa thamani ya gari hilo ni kubwa kuliko ile iliyoandikwa awali, ikimtaka Bobi Wine kulirudisha gari kwa Mamlaka hiyo ili kuangaliwa upya. URA imedai kuwa hakukuwa na taarifa kuwa gari hilo lilikuwa haliruhusu kupenya risasi wakati wa usajili.

Mamlaka hiyo inadai kuwa thamani ya gari iliyosajiliwa ni takriban Sh milioni 158 za Uganda (sawa na Tsh milioni 100) hivyo ushuru wake ulikuwa Sh milioni 88 (sawa na Tsh milioni 55), ikitaka kurudishwa kwa gari hilo ili kuhakikisha thamani yake upya.

Hatua hiyo ya Mamlaka imemkasirisha Robert Kyagulanyi, ambapo mwanasheria wake, Anthony Wameli, ameiandikia barua Mamlaka hiyo akidai kuwa hatua hiyo ni kinyume na sheria na inamnyima mteja wake haki ya kumiliki mali.

Hata hivyo, Mamlaka ya Mapato imesema kuwa kumtaka Wine kurejesha gari ili kulifanyia ukaguzi upya ni jambo la kawaida.

Utafiti wa mtandao wa intaneti unaonesha kuwa gari jipya aina ya Toyota Land-Cruiser V8 inagharimu kuanzia dola elfu 85 (sawa na Tsh. Milioni 197) lakini aina hiyo hiyo ya gari linalozuia risasi kupenya hufikia dola 395,000 hadi 450,000 (sawa na Tsh. milioni 917 hadi bilioni 1).

Chanzo: Daily Monitor
 
Dogo mapepe,akukuwa na aja ya kujitangaza na kijitapa mbele ya kadamnasi juu ya gari hili
 
Nini maana ya soko uhuria.au kwa vile kusema risasi kutoingia.alisha sema kuwa wamekoswa sana kupigwa risasi
 
Kwa hiyo hawakutaka amiliki gari bullet proof? Sometimes Africa tunajiaibisha kwa maswala kama haya. We look too childish to the rest of the world.
 
Mamlaka ya Mapato Uganda imemtaka aliyekuwa mgombea wa upinzani katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 nchini Uganda, Robert Kyagulanyi, Bobi Wine, kurudisha gari lake jipya alilonunua ambalo haliruhusu kupenya risasi, ikisema gari hilo liliruhusiwa mpakani kimakosa

Mapema juma lililopita, Bobi Wine aliwaambia wafuasi wake kuwa amefanikiwa kununua gari aina ya Toyota Land Cruiser V8 baada ya kukusanya michango ya wafuasi wake ndani na nje ya Uganda, na lilikuwa aina ya gari lisiloruhusu kupenya kwa risasi. Hii ilikuwa baada ya Mamlaka ya Mapato kutoa kibali kwa gari hilo na kumruhusu Bobi Wine kulitumia.
View attachment 1714823
Sasa URA inasema kuwa thamani ya gari hilo ni kubwa kuliko ile iliyoandikwa awali, ikimtaka Bobi Wine kulirudisha gari kwa Mamlaka hiyo ili kuangaliwa upya. URA imedai kuwa hakukuwa na taarifa kuwa gari hilo lilikuwa haliruhusu kupenya risasi wakati wa usajili.

Mamlaka hiyo inadai kuwa thamani ya gari iliyosajiliwa ni takriban Sh milioni 158 za Uganda (sawa na Tsh milioni 100) hivyo ushuru wake ulikuwa Sh milioni 88 (sawa na Tsh milioni 55), ikitaka kurudishwa kwa gari hilo ili kuhakikisha thamani yake upya.

Hatua hiyo ya Mamlaka imemkasirisha Robert Kyagulanyi, ambapo mwanasheria wake, Anthony Wameli, ameiandikia barua Mamlaka hiyo akidai kuwa hatua hiyo ni kinyume na sheria na inamnyima mteja wake haki ya kumiliki mali.

Hata hivyo, Mamlaka ya Mapato imesema kuwa kumtaka Wine kurejesha gari ili kulifanyia ukaguzi upya ni jambo la kawaida.

Utafiti wa mtandao wa intaneti unaonesha kuwa gari jipya aina ya Toyota Land-Cruiser V8 inagharimu kuanzia dola elfu 85 (sawa na Tsh. Milioni 197) lakini aina hiyo hiyo ya gari linalozuia risasi kupenya hufikia dola 395,000 hadi 450,000 (sawa na Tsh. milioni 917 hadi bilioni 1).

Chanzo: Daily Monitor
Mbona Kenya hakuna upuuzi huu, Wakenya wameelimika hasa wako vizuri sana wanathamini utu wa mtu na uhuru wa kila mmoja tangu walipotiana adabu upuuzi kama wa huku kwetu umeisha kabisa
 
Wasomi wanapigana machanga ya macho yakisomi...Africa mashariki wote watoto wa baba mmoja tu
 
Mamlaka ya Mapato Uganda imemtaka aliyekuwa mgombea wa upinzani katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 nchini Uganda, Robert Kyagulanyi, Bobi Wine, kurudisha gari lake jipya alilonunua ambalo haliruhusu kupenya risasi, ikisema gari hilo liliruhusiwa mpakani kimakosa

Mapema juma lililopita, Bobi Wine aliwaambia wafuasi wake kuwa amefanikiwa kununua gari aina ya Toyota Land Cruiser V8 baada ya kukusanya michango ya wafuasi wake ndani na nje ya Uganda, na lilikuwa aina ya gari lisiloruhusu kupenya kwa risasi. Hii ilikuwa baada ya Mamlaka ya Mapato kutoa kibali kwa gari hilo na kumruhusu Bobi Wine kulitumia.

Sasa URA inasema kuwa thamani ya gari hilo ni kubwa kuliko ile iliyoandikwa awali, ikimtaka Bobi Wine kulirudisha gari kwa Mamlaka hiyo ili kuangaliwa upya. URA imedai kuwa hakukuwa na taarifa kuwa gari hilo lilikuwa haliruhusu kupenya risasi wakati wa usajili.

Mamlaka hiyo inadai kuwa thamani ya gari iliyosajiliwa ni takriban Sh milioni 158 za Uganda (sawa na Tsh milioni 100) hivyo ushuru wake ulikuwa Sh milioni 88 (sawa na Tsh milioni 55), ikitaka kurudishwa kwa gari hilo ili kuhakikisha thamani yake upya.

Hatua hiyo ya Mamlaka imemkasirisha Robert Kyagulanyi, ambapo mwanasheria wake, Anthony Wameli, ameiandikia barua Mamlaka hiyo akidai kuwa hatua hiyo ni kinyume na sheria na inamnyima mteja wake haki ya kumiliki mali.

Hata hivyo, Mamlaka ya Mapato imesema kuwa kumtaka Wine kurejesha gari ili kulifanyia ukaguzi upya ni jambo la kawaida.

Utafiti wa mtandao wa intaneti unaonesha kuwa gari jipya aina ya Toyota Land-Cruiser V8 inagharimu kuanzia dola elfu 85 (sawa na Tsh. Milioni 197) lakini aina hiyo hiyo ya gari linalozuia risasi kupenya hufikia dola 395,000 hadi 450,000 (sawa na Tsh. milioni 917 hadi bilioni 1).

Chanzo: Daily Monitor

Shit hole continent -Africa.
 
Kwa hiyo hawakutaka amiliki gari bullet proof? Sometimes Africa tunajiaibisha kwa maswala kama haya. We look too childish to the rest of the world.
Viongozi wa kisiasa ndiyo chanzo cha matatizo yote haya.
 
Back
Top Bottom