Mamlaka ya Mapato ya Kenya inadai KSh18 milioni kama kodi kutoka kwa Sebastian Sawe baada ya kushinda London Marathon

Mamlaka ya Mapato ya Kenya inadai KSh18 milioni kama kodi kutoka kwa Sebastian Sawe baada ya kushinda London Marathon

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Kutoka kwenye KSh48 milioni alizoshinda Sebastian Sawe baada ya kushinda London Marathon, Mamlaka ya Mapato ya Kenya (KRA) inadaiwa kutaka hadi KSh18 milioni kama kodi.

 
Back
Top Bottom