Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
WamechelewaToo late and too little.
Hawapaswi kabisa kutumia vifaa vya kielectronic ili wawe salama, tofauti na hapo lolote likiwakuta wasije wakajilaumu.
hata viswaswadu itakuwa ngumu ni mwendo wa kutuma makalani wamevaa mabaibui kufikishiana habariKwahiyo Iran nu mwendo wa viswaswadu tu Mbona Hezbollah alifanya hivyo na bado akatandikwa
Wamechelewa sanaKwahiyo Iran nu mwendo wa viswaswadu tu Mbona Hezbollah alifanya hivyo na bado akatandikwa
Tadial call😂Kwahiyo raisi akitaka kuongea na cabinet yake anatumia njia gani ?
Ila Mungu anasubra sana,kuna siku na yeye atakuwa chini ya ardh.
Hata ww na mmIla Mungu anasubra sana,kuna siku na yeye atakuwa chini ya ardh.
Ht computer watazima sa sijui itakuwaje,Yaani kama hawajua hata kuangalia tv tu habari zinawafikia wakurungwa, kwa ufupi wakae mbali na simu, tv, saa kidigital na wasitumie kabisa majengo yao.
Wadau hamjamboni nyote, Iran yapiga marufuku maafisa kutumia vifaa vilivyounganishwa kwenye mtandao Leo, saa 2:00 usiku Mamlaka ya usalama wa mtandao ya Iran imepiga marufuku maafisa kutumia vifaa vinavyounganishwa kwenye mtandao, ikionekana kuhofia kufuatiliwa au kudukuliwa na Israel. Kwa mujibu wa shirika la habari la Fars lenye uhusiano na serikali, maafisa wa Iran na walinzi wao wameambiwa kuwa hawaruhusiwi kutumia vifaa vyovyote vinavyounganishwa na mtandao wa umma au mitandao ya Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo, Iran bans officials from using internet-connected devices
Today, 2:00 pm
Iran’s cybersecurity authority has banned officials from using devices that connect to the internet, apparently fearing being tracked or hacked by Israel.
According to the state-linked Fars news agency, Iranian officials and their bodyguards have been told they are not allowed to use any equipment that connects to public internet or telecommunications networks.
Haitawasaidia Kitu chochote kile.
Kwani locations za mahali walipo hazijulikani?
Teknolojia imekuwa Sana siku hizi.
Tayari wamechelewa.
Wakumbuke kwamba, wakati wa Amani ndio muda mzuri zaidi wa kujiandaa na Vita.
Tayari wamechelewa Sana!
Mbona Iran walifanikiwa kuizima iron dome iliyoasisiwa na marekani technologia zinazidiana wewe ukiwa na uwezo huu mwenzako ana uleToo late and too little.
Hawapaswi kabisa kutumia vifaa vya kielectronic ili wawe salama, tofauti na hapo lolote likiwakuta wasije wakajilaumu.
Iran wamefanikiwa kuhak iron dome bada ya kuzuia makombora ya Iran ikawa inajipiga wenyewe, technologia zinazidiana wewe una fani hii mwenzako ana ileMyahudi anamchora ataendelea kumfinya kila kiongozi hapo Iran