Mamlaka ya usalama Iran yapiga marufuku maafisa kutumia vifaa vilivyounganishwa kwenye mtandao

Iran wamefanikiwa kuhak iron dome bada ya kuzuia makombora ya Iran ikawa inajipiga wenyewe, technologia zinazidiana wewe una fani hii mwenzako ana ile
 
Wanaoondoka Teheran wameshindwa wamekwama barabarani, wengi magari yameharibika wengine magari yameishiwa mafuta.

Mawasiliano hakuna bila simu.
Barua watampa nani, walk talk zao wanaogopa yaliyowakuba hezboullah yasiwakumbe.

Cha kusikitisha wanategemea Satelite ya Starlink ya Elon Musk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…