Mamlaka ya usimamizi wa wanyama pori Tanzania (TAWA) yasema taratibu zote za kisheria zilifuatwa kwa mamba aliyewindwa na kuuawa ziwa Rukwa

Ajali za magari zimeruhusiwa kuwinda watu wangapi kwa mwaka?
 
Tuone nasi hiyo video ya professional hanters
 
Nilijua tu kuwa wawindaji wako sawa na vibali vyoote.....je sidi watanzania mihemko ai tuko sawa ? Kutetea nyara ? Je keleke zetu / chura huwa zinasaidia au hazimnyimi tembo kunywa maji ?
 
HKIKA TUNA VIONGOZI MZIGO KWA TAIFA HILI
 
Sasa mkuu ulikua unataka huyu mamba mkubwa aliwe nyama na kijiji au hoja ni nini hasa mpaka asiwindwe?
 
Kitu kilichokuwa kinalalamikiwa ni kwanini Mamba mkubwa kuliko wote duniani auawe ??!!
Hawaoni hapo sisi ndio tuliofeli ??!
Suala sio Mamba bali Mamba mkubwa kuliko Mamba wote Duniani !!
Kwa maoni yako ulikua unataka huyu mamba mkubwa kuliko wote tumpeleke wapi?
 
Acha uchawa mtoto wa kiume utakuja kupakwa mafuta ya nazi.
Hizo namba unaweka za nini? Unatafuta mabasha?
 
TAWA watueleze baada ya huyo kuna mwingine mwenye urefu huo? Shida yetu haikuwa uhalali wa kibali bali kuruhusu mamba mrefu kuliko wengine kuwindwa.
Iwekwe sheria inayozuia urefu fulani kuwindwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…