Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Mamlaka ya utabiri wa hali ya hewa Tanzania TMA inabidi ijitafakari juu ya taarifa zake. Ni muda mrefu Sasa mamlaka hii imekuwa ikibahatisha juu ya taarifa zake na nyingi zimekuwa zikiiletea nchi hasara kubwa.
Wakulima wanahitaji taarifa za uhakika juu ya maendelao ya hali ya hewa ili waweze kuuandaa mashamba na kulima mazao mbalimbali. Tofauti na nchi zingine TMA wamekuwa wakitoa utabiri wa miezi mingi mbele na kuzua taharuki kitu ambacho mie naona siyo sawa maana hali ya hewa inabadirika ndani ya muda mfupi sana mathalani saa Moja.
TMA wajitahidi kutoa utabiri wa Kila saa ili kuondoa sitofahamu ya kijaa juu ya taarifa zao. Utasikia mwaka huu hakutakuwa na mvua so wananchi walime mazao yanayoweza kuvumilia ukame mwezi mmoja mbele utasikia mwaka huu mvua zitakuwa nyingi sana hivyo walio mabondeni wahame.