Mamlaka ya utabiri wa hali ya hewa wajitafakari

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
4,035
Reaction score
11,462
Mamlaka ya utabiri wa hali ya hewa Tanzania TMA inabidi ijitafakari juu ya taarifa zake. Ni muda mrefu Sasa mamlaka hii imekuwa ikibahatisha juu ya taarifa zake na nyingi zimekuwa zikiiletea nchi hasara kubwa.

Wakulima wanahitaji taarifa za uhakika juu ya maendelao ya hali ya hewa ili waweze kuuandaa mashamba na kulima mazao mbalimbali. Tofauti na nchi zingine TMA wamekuwa wakitoa utabiri wa miezi mingi mbele na kuzua taharuki kitu ambacho mie naona siyo sawa maana hali ya hewa inabadirika ndani ya muda mfupi sana mathalani saa Moja.

TMA wajitahidi kutoa utabiri wa Kila saa ili kuondoa sitofahamu ya kijaa juu ya taarifa zao. Utasikia mwaka huu hakutakuwa na mvua so wananchi walime mazao yanayoweza kuvumilia ukame mwezi mmoja mbele utasikia mwaka huu mvua zitakuwa nyingi sana hivyo walio mabondeni wahame.
 
Mamlaka ya utabiri wa hali ya hewa Tanzania TMA inabidi ijitafakari juu ya taarifa zake. Ni muda mrefu Sasa mamlaka hii imekuwa ikibahatisha juu ya taarifa zake na nyingi zimekuwa zikiiletea nchi hasara kubwa. Wakulima wanahitaji taarifa za uhakika juu ya maendelao ya hali ya hewa ili waweze kuuandaa mashamba na kulima mazao mbalimbali. Tofauti na nchi zingine TMA wamekuwa wakitoa utabiri wa miezi mingi mbele na kuzua taharuki kitu ambacho mie naona siyo sawa maana hali ya hewa inabadirika ndani ya muda mfupi sana mathalani saa Moja. TMA wajitahidi kutoa utabiri wa Kila saa ili kuondoa sitofahamu ya kijaa juu ya taarifa zao. Utasikia mwaka huu hakutakuwa na mvua so wananchi walime mazao yanayoweza kuvumilia ukame mwezi mmoja mbele utasikia mwaka huu mvua zitakuwa nyingi sana hivyo walio mabondeni wahame.

Mumulaka ndo nini hiyo?
 
walisema kutakua na mvua 'kubwa' siku za weekend

subiri nifufue ule uzi
 
Mamlaka ya utabiri wa hali ya hewa Tanzania TMA inabidi ijitafakari juu ya taarifa zake. Ni muda mrefu Sasa mamlaka hii imekuwa ikibahatisha juu ya taarifa zake na nyingi zimekuwa zikiiletea nchi hasara kubwa.

Wakulima wanahitaji taarifa za uhakika juu ya maendelao ya hali ya hewa ili waweze kuuandaa mashamba na kulima mazao mbalimbali. Tofauti na nchi zingine TMA wamekuwa wakitoa utabiri wa miezi mingi mbele na kuzua taharuki kitu ambacho mie naona siyo sawa maana hali ya hewa inabadirika ndani ya muda mfupi sana mathalani saa Moja.

TMA wajitahidi kutoa utabiri wa Kila saa ili kuondoa sitofahamu ya kijaa juu ya taarifa zao. Utasikia mwaka huu hakutakuwa na mvua so wananchi walime mazao yanayoweza kuvumilia ukame mwezi mmoja mbele utasikia mwaka huu mvua zitakuwa nyingi sana hivyo walio mabondeni wahame.
Waambie waende kwa waganga wapigiwe ramli kuliko vifaa vyao uchwara, kila siku kudanganya watu
 
Kutakuwa na vipindi vichache vya jua na mvua kias katika maeneo kadhaa ya nyanda za juu kusini na kaskazini mashariki... shenzi sana.

Utabir kwa karne ya 21 sio tu a mere forecust but based on scientific and precise weather conditions and forecast...
 
Ndugu yangu elewa ya kwamba Utabiri sio kitu cha kutegemea kwa saaaaana,ukiwasikiliza ktk taarifa zao mwisho huwa wanasema '"matajio ni mabadiliko kidogo" ,kwa maana hiyo yale waliyotabiri sio mambo ya uhakika asilikia mia
 
Mamlaka ya utabiri wa hali ya hewa Tanzania TMA inabidi ijitafakari juu ya taarifa zake. Ni muda mrefu Sasa mamlaka hii imekuwa ikibahatisha juu ya taarifa zake na nyingi zimekuwa zikiiletea nchi hasara kubwa.

Wakulima wanahitaji taarifa za uhakika juu ya maendelao ya hali ya hewa ili waweze kuuandaa mashamba na kulima mazao mbalimbali. Tofauti na nchi zingine TMA wamekuwa wakitoa utabiri wa miezi mingi mbele na kuzua taharuki kitu ambacho mie naona siyo sawa maana hali ya hewa inabadirika ndani ya muda mfupi sana mathalani saa Moja.

TMA wajitahidi kutoa utabiri wa Kila saa ili kuondoa sitofahamu ya kijaa juu ya taarifa zao. Utasikia mwaka huu hakutakuwa na mvua so wananchi walime mazao yanayoweza kuvumilia ukame mwezi mmoja mbele utasikia mwaka huu mvua zitakuwa nyingi sana hivyo walio mabondeni wahame.
Miundombinu duni
 
Hata hivyo naona wanajitahidi sana sidhani kama pana nyenzo za kisasa hao Zimbabwe wamewekewa vikwazo lakini wamepeleka Satellite na Uganda kwa pamoja sisi huku hakuna la maana zaidi ya kuboresha Tamisemi..
 
Kwanini weekend radio TZ haitangazi utabiri wa Hali ya he was kama wanavyo fanya siku za wiki.Wanauzi sana hii station.
 
Back
Top Bottom