Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Wasalaam JF,
Nitoe rai na angalizo kwa maslahi mapana ya usalama, ulinzi yazingatiwe, vizazi na vizazi vya hao watu na iwe Mvua, iwe jua, iwe mbalamwezi iwe Giza totoro, kuchunguza muhimu sana, sina wivu na mtu bali kwa maslahi ya taifa, utaifa na uzalendo.
Sio kila mtu ni wa kumpeleka wizara nyeti hasa Ulinzi, Mambo ya Nje, Mambo ya Ndani, Wizara ya Fedha. Kuna watu waishie kuwa Wabunge tu.
Sijabahatisha kutoa angalizo hili namaanisha uzalendo kweli, classes na wigo vinamaana yake.
Wadiz