Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Sijabahatisha kutoa angalizo
Well said,ila kwa ukilaza wa nchi hii basi tena!Wasalaam JF,
Nitoe rai na angalizo kwa maslahi mapana ya usalama, ulinzi yazingatiwe, vizazi na vizazi vya hao watu na iwe Mvua, iwe jua, iwe mbalamwezi iwe Giza totoro, kuchunguza muhimu sana, sina wivu na mtu bali kwa maslahi ya taifa, utaifa na uzalendo.
Sio kila mtu ni wa kumpeleka wizara nyeti hasa ulinzi, mambo ya nje, mambo ya ndani, wizara ya fedha. Kuna watu waishie kuwa Wabunge tu.
Sijabahatisha kutoa angalizo hili namaanisha uzalendo kweli, classes na wigo vinamaana yake.
Wadiz
Epuka majuto kwenye maeneo muhimuMkuu funguka zaidi, kuhusu nini umeona kama mzalendo anayelipenda taifa lake la Tanzania kwa wivu mkubwa.
na yule Mnyarwanda wa Ulinzi pale! ipo siku tutalia! hatujifunzi tu kama huyu hapa ni mke wa Magufuli! hii damu ya Kagame kabisa!Kama yule Mrundi
Unamaanisha Mkunda?na yule Mnyarwanda wa Ulinzi pale! ipo siku tutalia! hatujifunzi tu kama huyu hapa ni mke wa Magufuli! hii damu ya Kagame kabisa!
sisi wabishi mno
View attachment 2501372
Yupi huyo mkuuKama yule Mrundi
kwani Gen. JJ Mkunda ni waziri?Unamaanisha Mkunda?
Hapana, unamaanisha KIJANA MPENDWA BI?kwani Gen. JJ Mkunda ni waziri?
mtu mweusi tangu lini akawa na uzalendoWasalaam JF,
Nitoe rai na angalizo kwa maslahi mapana ya usalama, ulinzi yazingatiwe, vizazi na vizazi vya hao watu na iwe Mvua, iwe jua, iwe mbalamwezi iwe Giza totoro, kuchunguza muhimu sana, sina wivu na mtu bali kwa maslahi ya taifa, utaifa na uzalendo.
Sio kila mtu ni wa kumpeleka wizara nyeti hasa Ulinzi, Mambo ya Nje, Mambo ya Ndani, Wizara ya Fedha. Kuna watu waishie kuwa Wabunge tu.
Sijabahatisha kutoa angalizo hili namaanisha uzalendo kweli, classes na wigo vinamaana yake.
Wadiz