Mamlaka zimelipa kisogo suala la kupambana na mapenzi ya jinsia moja.

Hili jambo lisipofanyiwa kazi kuna maandiliz makubwa ya ongezeko la mashoga haswa kwa watoto waliopo mashulen kwa sasa, mana hii hali inawajenga kisaikolojia kuona ni jambo la kawaida kwa maana wapo huru na jamii imewapokea kabisa. Ni hatari sana.
👏
 
Tuanze nyumban kuongea na wadogo zetu watoto zetu wa kiume ninapoishi Kuna mama mtoto wake Yuko form 2 ameanza mambo hayo inaumiza sana kama mzaz mungu anusuru kizaz hiki
 
Form two , na pengne mmechelewa kujua, labda kaanza mda, yoote kwa kheri pambana umsaidie, ata kama ni kujulisha mammlaka husika, Na Mungu atakubariki
 
Kuna mashoga mpaka kwenye mamlaka , viongozi wa dini, na mikopo wanayochukua tatizo hamuoneshwi. Hayo mataifa yanavipengele wanataka hao wadudu walindwe. Trump ndio master wa hao majangili tu, katika mataifa ya magharibi.
 
Kwenye madawa ya kulevya imefanya nini
 
Pamoja na mapungufu yake namuombe trump ashinde kwenye vita hivo
 
Mungu anusuru kizaz chetu.
Hapa sio kutegemea viongoz wa silikal ndo wapambane je unajua wao wapo salama?

Selikal ni wew apo.. Tujitahd malez ya watoto wetu na wamjue MUNGU, kupunguza kas ya ushoga
 
Mungu anusuru kizaz chetu.
Hapa sio kutegemea viongoz wa silikal ndo wapambane je unajua wao wapo salama?

Selikal ni wew apo.. Tujitahd malez ya watoto wetu na wamjue MUNGU, kupunguza kas ya ushoga🙏
 
Kila zama na ujinga wake!
Sababu Vitendo hivyo Si mpango wa MUNGU!; YATAKWISHA TU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…