Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaweza kuwa hivo ?Chakula cha wataka madaraka na umaarufu wa kidini...
Inaweza kuwa hivo ?
Rais muislamu siku zote uabudu MABEBERU NA WAARABU kwa hiyo tegemea nchi kuenda kinafiki zaidi.Wana jamvi "Tumsifu Yesu kristu, Asalaam aleykum , Bwana yesu Apewe Sifa"!
Naiomba serikali yangu JMT iamke, Nimeshangazwa saana na Ongezeko la mashoga mtaani tena wakitembea kwa madaha kabisa, yaan mpaka mtoto wa shule ya msingi ana nyoosha kidole shoga yule.
Yaan kila sehemu mambo haya ya laana na aibu yanataka kushamili kwa kasi, waajiriwa , wafanya biashara na wasio na ajilra inataka kuwa kufuru, utashangaa ma dreva wa kiume wako parking eneo na masaa ya kazi wanachezeana kama mke na mume!
Wadada wameloewa na wadada wenzao, mtu ana muita dada mwenzie mume wangu tena kwa sauti kubwa bila uoga aisee,
Najiuliza na kosa majibu kulikoni ile vita ya kupambana na watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja imefifia? Ni mamlaka gan za serikali zlipewa hili jukumu? , watu kama akina catherine ck, wako wapi, nn hatma ya mambo ya miaka mi 5 ijayo nakuendelea?
Serikali iamke na kuongeza nguvu kama inavyofanya kwenye madawa ya kulevya, ishikrikishe wanachi wenye hof ya Mungu na watiifu katika vita hvi naamni itashinda.🙏
Mmmhh,!!Rituals...
Ulimwengu unatekwa na wenye nguvu, na walio na maarifa zaidi ya haya ya kawaida...
Uchoko hauwezi kuisha wala viongozi kuwa na uthubutu wa dhati kuumaliza...
Wamemzuia naniImepiga hatua japo si kwa 💯, wanazui, na kupambana vyema