Mamlaka zinasubiri nini kumpa ofa ya Uraia Mayele?

Mamlaka zinasubiri nini kumpa ofa ya Uraia Mayele?

Habari !
Kuiga jambo si ujinga, cha muhimu ni kuangalia faida za jambo lenyewe.
US. hawana kuchelewachelewa kwenye suala la kutoa offer ya uraia wa kudumu kwa mgeni anayefanya vizuri. Wakiamini yeye au kizazi chake watafanya makubwa kwa Taifa lao.
Tusipoteze fursa hii ya Mayele. Akipata team huko ng'ambo basi tena itabaki historia.
Apewe offer ya uraia na vi package vyake ili asikatae.
Au mnaona raha kufungwa hovyo?
Yaan kwa sababu tu ya kufunga vimagoli vya kubahatisha tena kwenye timu na ligi mbofu mbofu! Ndo apewe uraia? Ki ukweli wewe ni zao la ccm toka pande za ngulyati huko bariadi
 
Back
Top Bottom