KERO Mamlaka zinazohusika na kutoa vibali kwenye kumbi za starehe na bar zijitathimini upya

KERO Mamlaka zinazohusika na kutoa vibali kwenye kumbi za starehe na bar zijitathimini upya

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kuna bar moja inaitwa Flamingo ipo Salasala DSM katika ya makazi ya watu inapiga mziki mkubwa usiku kucha. Inatuletea usumbufu majirani unakuwa na kelele za bar ujakaa sawa kuna kelele za makanisa ya kiroho katika kuabudu

Naomba Serikali iandae sheria ya sounds proof kwa haya makanisa na kumbi za starehe. Kama ipo isimamiwe ipasavyo maana imekuwa kero sana.

Pia soma
 
Back
Top Bottom