Mamlaka zisifumbie macho udhalilishaji huu anaopitia DC mstaafu Jane Nyamsenda

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,761
Reaction score
2,391
Kitu kinachouma ni kuwa ingawa haijulikani katumbuliwa kwa Sababu gani lkn picha zake zimekuwa zikisambazwa labda kuhusishwa na hizi haki na komenti za dhihaka, matusi na udhalilishaji zikifata.

Sasa Kuna Vita kubwa Kati ya wale wanaotetea watu wenye kasoro za kimaumbile zinazohushisha homoni za jinsia na watu wa dini wenye msimamo mkali.

Unyanyapaa anaopitia DC ndio aliopitia mkimbiaji maarufu wa South Africa Semenye.

Anachofanyiwa Sasa Jane ingawa sina hakika Sana Kama yupo huko ndio kinachopingwa Sasa na dunia.

Ndio maana nataka kupendekeza nanna Bora ya kuzuia watoto wetu ambao wamezaliwa bila kasoro za kimaumbile kuwa sehemu ya utamaduni huo bila kuwatusi au kudhalilishwa mtu mwenye muonekano kama wa DC.

Baada ya miongo kadhaa ya dunia kuwadhalilisha, kuwatukana ata kuwaadhibu watu wenye itilafu kwenye via au homoni za uzazi ambao kimsingi wamezaliwa nazo. Sio mapenzi yao kuwa hivyo. Watu Kama mahanisi (wasioweza kusimama). Tasa wasioweza kuzaa, watu wenye jinsia mbili, Kuna watu wasio na jinsia kabisa( wanasehemu ya kukojolea)

Pia wapo waliozaliwa na via vya ke lkn wanahomoni za me Kama Semanya. Na kinyume chake. Na kwa takwimu za kidaktari watu wenye kasoro zote hizo huusisha karibu 0.3% ya watu wote Duniani. Yani zaidi ya watu milioni 30.

Kwa ukweli Kama yupo mwenye kosa, wa kuzomewa, wa kudhalilishwa Ni aliyewaumba hivyo na Sio wao.

Je kwa udhalilishaji huu Nani atakaemuajili huyo DC. Je PhD hiyo itaachwa ipotee au iende zake ulaya.

Naomba tutafakari hili kiundani.

Kama jamii kwa dunia ya Sasa Tukubali tukatae ushoga utakuwa wazi kwenye jamii yetu. Mimi na wewe hatutaki kabisa watoto wetu kuwa sehemu ya ushoga.

Kitu Cha kufanya Ni kuweka mazingira rafiki kwa watoto wetu waliozaliwa bila itilafu za kimaumbile kuingia huko. Kuwaambia tokea wakiwa wadogo madhara yake, kutoruhusu watoto wa jinsia moja kulala kitanda kimoja hasa wanapoingia kwenye barehe. Wageni wakubwa hasa ndugu wasilale na watoto, tusibane Sana watoto wa kike na kiume kutochangamana. Umri huo Ni mbaya Sana watoto huweza kubaka ata wanyama au kujifunza kusagana.

Lakini kamwe hatuwezi kuzuia ushoga kwa kuwazomea, kuwadhalilisha watu ambao Ni mashoga tayari ama kwa kuzaliwa au kukengeuka.
Screenshot_20230313-091440_1678688580890.jpg
Screenshot_20230313-091504_1678688640874.jpg
 
Kitu kinachouma Ni Kuwa ingawa haijulikani katumbuliwa kwa Sababu gani lkn picha zake zimekuwa zikisambazwa labda kuhusishwa na hizi haki na koment za ziaka, matusi na udhalilishaji zikifata.

Sasa Kuna Vita kubwa Kati ya wale wanaotetea watu wenye kasoro za kimaumbile zinazohushisha homoni za jinsia na watu wa dini wenye msimamo mkali.

Unyanyapaa anaopitia DC ndio aliopitia mkimbiaji maarufu wa south Africa Semenye.
Anachofanyiwa Sasa Jane ingawa sina hakika Sana Kama yupo uko ndio kinachopingwa Sasa na dunia.
Ndio maana nataka kupendekeza nanna Bora ya kuzuia watoto wetu ambao wamezaliwa bila kasoro zza kimaumbile kuwa sehemu ya utamaduni huo bila kuwatusi au kudhalilishwa mtu mwenye muonekano Kama wa DC.

Please moderater msifute Uzi huu kwa kudhani Ni kampeni za ushoga Bali tuweke tafakari ya pamoja na kwa uwazi kabisa.
Ana shida kichwani ...myyke DC mtumbuliwa sio bure
 
Unyanyapaa anaopitia DC ndio aliopitia mkimbiaji maarufu wa south Africa Semenye.
Anachofanyiwa Sasa Jane ingawa sina hakika Sana Kama yupo uko ndio kinachopingwa Sasa na dunia.
Ndio maana nataka kupendekeza nanna Bora ya kuzuia watoto wetu ambao wamezaliwa bila kasoro zza kimaumbile kuwa sehemu ya utamaduni huo bila kuwatusi au kudhalilishwa mtu mwenye muonekano Kama wa DC.
Kwani ana mapungufu gani ya kimaumbile, mbona alishuka kwenye Nissan akatembea kwa muondoko wa ki miss DC na akashangiliwa, tatizo liko wapi
 
Tangu umeanza kuandika nyuzi huu ndio bora kuliko zote.

Ninapinga udhaklilishaji huo
 
Please moderater msifute Uzi huu kwa kudhani Ni kampeni za ushoga Bali tuweke tafakari ya pamoja na kwa uwazi kabisa
weka picha mkuu
 
Hii mitandao,ukisema uifatilie utapasuka kichwa

Ova
 
Sijaelewa,kwani huyo DC ni msagaji au Shoga?
Halafu sio mstaafu ni aliyetenguliwa, kustaafu kastaafu lini!
 
Kitu kinachouma Ni Kuwa ingawa haijulikani katumbuliwa kwa Sababu gani lkn picha zake zimekuwa zikisambazwa labda kuhusishwa na hizi haki na koment za ziaka, matusi na udhalilishaji zikifata.

Sasa Kuna Vita kubwa Kati ya wale wanaotetea watu wenye kasoro za kimaumbile zinazohushisha homoni za jinsia na watu wa dini wenye msimamo mkali.

Unyanyapaa anaopitia DC ndio aliopitia mkimbiaji maarufu wa south Africa Semenye.
Anachofanyiwa Sasa Jane ingawa sina hakika Sana Kama yupo uko ndio kinachopingwa Sasa na dunia.
Ndio maana nataka kupendekeza nanna Bora ya kuzuia watoto wetu ambao wamezaliwa bila kasoro zza kimaumbile kuwa sehemu ya utamaduni huo bila kuwatusi au kudhalilishwa mtu mwenye muonekano Kama wa DC.

Baada ya miongo kadhaa ya dunia kuwadhalilisha, kuwatukana ata kuwaadhibu watu wenye itilafu kwenye via au homoni za uzazi ambao kimsingi wamezaliwa nazo. Sio mapenzi yao kuwa hivyo. Watu Kama mahanisi (wasioweza kusimama). Tasa wasioweza kuzaa, watu wenye jinsia mbili, Kuna watu wasio na jinsia kabisa( wanasehemu ya kukojolea)

Pia wapo waliozaliwa na via vya ke lkn wanahomoni za me Kama Semanya. Na kinyume chake. Na kwa takwimu za kidaktari watu wenye kasoro zote hizo huusisha karibu 0.3% ya watu wote Duniani. Yani zaidi ya watu milioni 30.

Kwa ukweli Kama yupo mwenye kosa, wa kuzomewa, wa kudhalilishwa Ni aliyewaumba hivyo na Sio wao.

Je kwa udhalilishaji huu Nani atakaemuajili huyo DC. Je PhD hiyo itaachwa ipotee au iende zake ulaya.

Naomba tutafakari hili kiundani.

Kama jamii kwa dunia ya Sasa Tukubali tukatae ushoga utakuwa wazi kwenye jamii yetu. Mimi na wewe hatutaki kabisa watoto wetu kuwa sehemu ya ushoga.

Kitu Cha kufanya Ni kuweka mazingira rafiki kwa watoto wetu waliozaliwa bila itilafu za kimaumbile kuingia huko. Kuwaambia tokea wakiwa wadogo madhara yake, kutoruhusu watoto wa jinsia moja kulala kitanda kimoja hasa wanapoingia kwenye barehe. Wageni wakubwa hasa ndugu wasilale na watoto, tusibane Sana watoto wa kike na kiume kutochangamana. Umri huo Ni mbaya Sana watoto huweza kubaka ata wanyama au kujifunza kusagana.

Lakini kamwe hatuwezi kuzuia ushoga kwa kuwazomea, kuwadhalilisha watu ambao Ni mashoga tayari ama kwa kuzaliwa au kukengeuka.

Please moderater msifute Uzi huu kwa kudhani Ni kampeni za ushoga Bali tuweke tafakari ya pamoja na kwa uwazi kabisa.
Ungeweka picha tuone
 
Huyu ndo yule aliandaa movie anashambuliwa uwanjani baada ya kushuka kwenye V8 na jopo lake la maaskari au walinzi wake?!

Ana shida kichwani... si bure!
 
DC,Kutumbiliwa,unyanyapaa,jinsia ...ku na Nini mb of na mm sielewi
 
Mleta uzi una nia mbaya na DC. Wengine tulikuwa hatuna habari na uliyoyaeleza.Ulipoyatoa ndo tumeanza kudadisi.Huoni kuwa umemuanika zaidi.
 
Back
Top Bottom