Mamlaka zisifumbie macho udhalilishaji huu anaopitia DC mstaafu Jane.

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,761
Reaction score
2,391
Kitu kinachouma Ni Kuwa ingawa haijulikani katumbuliwa kwa Sababu gani lkn picha zake zimekuwa zikisambazwa labda kuhusishwa na hizi haki na koment za ziaka, matusi na udhalilishaji zikifata.

Sasa Kuna Vita kubwa Kati ya wale wanaotetea watu wenye kasoro za kimaumbile zinazohushisha homoni za jinsia na watu wa dini wenye msimamo mkali.

Unyanyapaa anaopitia DC ndio aliopitia mkimbiaji maarufu wa south Africa Semenye.
Anachofanyiwa Sasa Jane ingawa sina hakika Sana Kama yupo uko ndio kinachopingwa Sasa na dunia.
Ndio maana nataka kupendekeza nanna Bora ya kuzuia watoto wetu ambao wamezaliwa bila kasoro zza kimaumbile kuwa sehemu ya utamaduni huo bila kuwatusi au kudhalilishwa mtu mwenye muonekano Kama wa DC.

Baada ya miongo kadhaa ya dunia kuwadhalilisha, kuwatukana ata kuwaadhibu watu wenye itilafu kwenye via au homoni za uzazi ambao kimsingi wamezaliwa nazo. Sio mapenzi yao kuwa hivyo. Watu Kama mahanisi (wasioweza kusimama). Tasa wasioweza kuzaa, watu wenye jinsia mbili, Kuna watu wasio na jinsia kabisa( wanasehemu ya kukojolea)

Pia wapo waliozaliwa na via vya ke lkn wanahomoni za me Kama Semanya. Na kinyume chake. Na kwa takwimu za kidaktari watu wenye kasoro zote hizo huusisha karibu 0.3% ya watu wote Duniani. Yani zaidi ya watu milioni 30.

Kwa ukweli Kama yupo mwenye kosa, wa kuzomewa, wa kudhalilishwa Ni aliyewaumba hivyo na Sio wao.

Je kwa udhalilishaji huu Nani atakaemuajili huyo DC. Je PhD hiyo itaachwa ipotee au iende zake ulaya.

Naomba tutafakari hili kiundani.

Kama jamii kwa dunia ya Sasa Tukubali tukatae ushoga utakuwa wazi kwenye jamii yetu. Mimi na wewe hatutaki kabisa watoto wetu kuwa sehemu ya ushoga.

Kitu Cha kufanya Ni kuweka mazingira rafiki kwa watoto wetu waliozaliwa bila itilafu za kimaumbile kuingia huko. Kuwaambia tokea wakiwa wadogo madhara yake, kutoruhusu watoto wa jinsia moja kulala kitanda kimoja hasa wanapoingia kwenye barehe. Wageni wakubwa hasa ndugu wasilale na watoto, tusibane Sana watoto wa kike na kiume kutochangamana. Umri huo Ni mbaya Sana watoto huweza kubaka ata wanyama au kujifunza kusagana.

Lakini kamwe hatuwezi kuzuia ushoga kwa kuwazomea, kuwadhalilisha watu ambao Ni mashoga tayari ama kwa kuzaliwa au kukengeuka.

Please moderater msifute Uzi huu kwa kudhani Ni kampeni za ushoga Bali tuweke tafakari ya pamoja na kwa uwazi kabisa.
 
Wewe ndiyo unayakuza, watu walikuwa wameshaanza kusahau. Huwa mnasema wanawake wa Mara sisi wabaya, siku kawekwa Lady Jay Dee hapa kanangwa. Mbona hukujitokeza kumtetea?
Na huyu naona kuna Chacha naona nayeye ni wa kulekule, kama hajasema neno kaona kawaida tu.
 
Kitu kinachouma Ni Kuwa ingawa haijulikani katumbuliwa kwa Sababu gani lkn picha zake zimekuwa zikisambazwa labda kuhusishwa na hizi haki na koment za ziaka, matusi na udhalilishaji zikifata.

Sasa Kuna Vita kubwa Kati ya wale wanaotetea watu wenye kasoro za kimaumbile zinazohushisha homoni za jinsia na watu wa dini wenye msimamo mkali.

Unyanyapaa anaopitia DC ndio aliopitia mkimbiaji maarufu wa south Africa Semenye.
Anachofanyiwa Sasa Jane ingawa sina hakika Sana Kama yupo uko ndio kinachopingwa Sasa na dunia.
Ndio maana nataka kupendekeza nanna Bora ya kuzuia watoto wetu ambao wamezaliwa bila kasoro zza kimaumbile kuwa sehemu ya utamaduni huo bila kuwatusi au kudhalilishwa mtu mwenye muonekano Kama wa DC.

Baada ya miongo kadhaa ya dunia kuwadhalilisha, kuwatukana ata kuwaadhibu watu wenye itilafu kwenye via au homoni za uzazi ambao kimsingi wamezaliwa nazo. Sio mapenzi yao kuwa hivyo. Watu Kama mahanisi (wasioweza kusimama). Tasa wasioweza kuzaa, watu wenye jinsia mbili, Kuna watu wasio na jinsia kabisa( wanasehemu ya kukojolea)

Pia wapo waliozaliwa na via vya ke lkn wanahomoni za me Kama Semanya. Na kinyume chake. Na kwa takwimu za kidaktari watu wenye kasoro zote hizo huusisha karibu 0.3% ya watu wote Duniani. Yani zaidi ya watu milioni 30.

Kwa ukweli Kama yupo mwenye kosa, wa kuzomewa, wa kudhalilishwa Ni aliyewaumba hivyo na Sio wao.

Je kwa udhalilishaji huu Nani atakaemuajili huyo DC. Je PhD hiyo itaachwa ipotee au iende zake ulaya.

Naomba tutafakari hili kiundani.

Kama jamii kwa dunia ya Sasa Tukubali tukatae ushoga utakuwa wazi kwenye jamii yetu. Mimi na wewe hatutaki kabisa watoto wetu kuwa sehemu ya ushoga.

Kitu Cha kufanya Ni kuweka mazingira rafiki kwa watoto wetu waliozaliwa bila itilafu za kimaumbile kuingia huko. Kuwaambia tokea wakiwa wadogo madhara yake, kutoruhusu watoto wa jinsia moja kulala kitanda kimoja hasa wanapoingia kwenye barehe. Wageni wakubwa hasa ndugu wasilale na watoto, tusibane Sana watoto wa kike na kiume kutochangamana. Umri huo Ni mbaya Sana watoto huweza kubaka ata wanyama au kujifunza kusagana.

Lakini kamwe hatuwezi kuzuia ushoga kwa kuwazomea, kuwadhalilisha watu ambao Ni mashoga tayari ama kwa kuzaliwa au kukengeuka.

Please moderater msifute Uzi huu kwa kudhani Ni kampeni za ushoga Bali tuweke tafakari ya pamoja na kwa uwazi kabisa.
Umeandika nini sasa?
 
alitafuta kiki na kaipata acha aishi nayo
 
Hahaaaa!!!hata hueleweki,eti Phd inaenda kupotea kwani kabla ya kuwa DC alikuwa anaishije c atarudi alipokuwa!!mbona Halima Mdee amekuwa ktk mazingira hayo miaka nenda rudi?tena kutoka kwa viongozi kabisa wa chama?!
 
Wewe nawe huna akili kama huyo Jane wako... Idiots
Hili sio swala lake. Mtu Ana PhD unasema Hana akili.
Uwenda akawa tofauti jinsi mungu alivyomuumba. Lakini watu katili mnalazimisha aolewe au azae. Unajuaje Kama kaumbwa na hisia za kike
 
Hahaaaa!!!hata hueleweki,eti Phd inaenda kupotea kwani kabla ya kuwa DC alikuwa anaishije c atarudi alipokuwa!!mbona Halima Mdee amekuwa ktk mazingira hayo miaka nenda rudi?tena kutoka kwa viongozi kabisa wa chama?!
Je Ni sawa watu waliozaliwa na kuwa na muonekano tofauti na wengine kuzomewa? Au kuwa mjadala
 
Upuuzi tu sijui umeandika nini ata sijakuelewa
 
Back
Top Bottom