Hapana mkuuKuna kondomu for reuse?
Waitara atarudi Lumumba this time atakuwa mpika chai ya Bashiru na Polepole.cc; Mwita Waitara, Paulina Gekule & co
Ni vizuri kuanza kujizoesha jambo hilo ili msije kufa kwa msongo.
Unafanya mapenzi na shetani ukitegemea upate mimba ya malaika?
Waitara aliwahi kuwa mpika chai wa Nchimbi , kwahiyo hii si kazi ngeni kwakecc; Mwita Waitara, Paulina Gekule & co
Ni vizuri kuanza kujizoesha jambo hilo ili msije kufa kwa msongo.
Unafanya mapenzi na shetani ukitegemea upate mimba ya malaika?
Kwani mwenyekiti si anapambana na rushwa? Imekuwaje tena?CCM ya sasa imerudi kwenye ubora wake kama ile ya Mzee Yusufu Makamba...
Kila mgombea ametoa rushwa tofauti ni Kiwango.
CCM ya sasa imerudi kwenye ubora wake kama ile ya Mzee Yusufu Makamba...
Kila mgombea ametoa rushwa tofauti ni Kiwango.
Maneno ya Katibu Mkuu kuhusu Uchaguzi Mkoa wa Dar yanathibitisha hilo, hapo ni Dar serikali yote ipo hapo.Kwa hiyo kuwa ccm inapambana na rushwa ni Hadaa ya Magufuli kwa wananchi wanyonge?
Mzee Warioba alisema Mapambano ya Rushwa yanachagua baadhi ya kada....Kwani mwenyekiti si anapambana na rushwa? Imekuwaje tena?