Mammy Baby wa Clouds... What a Presenter.!!

Ana sauti nzuri ndio ila uwezo wa kuchanaganua mambo kama fetty bado hana huo uwezo..unajua presenter sio sauti tu bali na akili kichwani
 
Nachelea kusema huyu Dada ni kati ya presenter Bora .... Bora saanaa kuwahi kutokea hapa karibuni.

Anatishaaa... Hakika Pengo la Fetty limezibika vilivyo.

Aliye na picha ya mtoto huyu mrembo please..!!! Lazima ni mrembo tu.

Proud of her.
Ana sura mbaya kama yangu
 

Godzilla Huyo. hakawii kuoza
 
Mkuu mbona ulimkazia sana...

Amekukosea nini!!!??

.....
 
Habari wadau.

Mada yajidadavua vizuri. Mwenye picha tafadhali atupie humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…