Mammy Baby wa Clouds... What a Presenter.!!

Mammy Baby wa Clouds... What a Presenter.!!

Ana sauti nzuri ndio ila uwezo wa kuchanaganua mambo kama fetty bado hana huo uwezo..unajua presenter sio sauti tu bali na akili kichwani
 
Nachelea kusema huyu Dada ni kati ya presenter Bora .... Bora saanaa kuwahi kutokea hapa karibuni.

Anatishaaa... Hakika Pengo la Fetty limezibika vilivyo.

Aliye na picha ya mtoto huyu mrembo please..!!! Lazima ni mrembo tu.

Proud of her.
Ana sura mbaya kama yangu
 
Sasa kwa hii Sura yake si bora tu niazime uzoefu wa kupiga " punyeto " kwa yule Waziri wa Congo? Ndiyo maana Wanawake wengine huwa tunafanya mapenzi na nyie huku Shingo zetu tukizielekezea Magharibi na Fikra zikibaki Ikweta! Halafu huyu nae utasikia kuna Mtu Kafa Kaoza juu yake.

Godzilla Huyo. hakawii kuoza
 
Sasa kwa hii Sura yake si bora tu niazime uzoefu wa kupiga " punyeto " kwa yule Waziri wa Congo? Ndiyo maana Wanawake wengine huwa tunafanya mapenzi na nyie huku Shingo zetu tukizielekezea Magharibi na Fikra zikibaki Ikweta! Halafu huyu nae utasikia kuna Mtu Kafa Kaoza juu yake.
Mkuu mbona ulimkazia sana...

Amekukosea nini!!!??

.....
 
Habari wadau.

Mada yajidadavua vizuri. Mwenye picha tafadhali atupie humu.
 
Habari wadau.

Mada yajidadavua vizuri. Mwenye picha tafadhali atupie humu.

FB_IMG_1529244105322.jpg
Huyu hapa
 
Back
Top Bottom