Mamndenyi popote ulipo wewe ni zaidi ya mwanamke

Mamndenyi njoo huku mama yangu ....Kambona usiku kucha halali ,, huishi ndoton mwake yaan
Njooo mama ....Kijana anakuwaza sana ,, hajawahi kukuona lkn anahisi wewe nikama huyu alovaa nguo nyeupe ..[emoji116] [emoji116] .

Tega sikio.
Hahahaha pamoja sana mkuu busara zako ni zaidi ya msaada mkuu
 
Sawa mkuu natamani tu kumjua moyo wangu utaridhika aisee
Usijari mkuu utamjua. Uzuri wa JF imewakutanisha watu wa aina mbali mbali na mpaka sasa wanafurahia aina ya urafiki walionao mimi nikiwa mmoja wapo. Kila la kheri mkuu
 
Usijari mkuu utamjua. Uzuri wa JF imewakutanisha watu wa aina mbali mbali na mpaka sasa wanafurahia aina ya urafiki walionao mimi nikiwa mmoja wapo. Kila la kheri mkuu
Nashukuru mkuu kwa kunipa moyo uwe na jion njema
 
Wewe Kambonna uhanga utakupeleka pabaya! Mamndenyi ana umri sawa na Bibi yako ambaye ni bibi wa mama aliyekuzaa wewe ni kitukuu kilembwe! Ninyi watoto wa siku hizi mh
Sawa mkuu ila sijasema chochote kibaya zaidi ya kukubali busara zake nadhani umeoverlook mkuu calm down
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…