Mamndenyi popote ulipo wewe ni zaidi ya mwanamke

Mamndenyi popote ulipo wewe ni zaidi ya mwanamke

Aliyekwambia dada nani mtake ladhi mapema sana!

Huyu ni mama yako, na kama umechelewa kidogo basi u mjukuu au kitukuu, na ukome kabisa kumwita mdada, mamamkwe wangu huyu..! I love mama mzaa chema.

Mwisho naona unatafuta ugomvi na babu Asprine kumwita mchepuko wake wa uzeeni mdada.[emoji125][emoji125][emoji125] Don't ask me namjua au lah, elewa itakusaidia.
Mkuu umeeleweka kabisa japo naona ulikuwa unaandika kwa jazba na mhemko sio tatizo.Ningependa urudie uzi vizuri na uelewe dhana yake,lkn pia kama kumuita mdada ndio kinacho jaza kifua chako relax young boy ni mambo ya kawaida.
 
Nenda mwisho wa uzi wangu ndipo ujumbe ako ulipo..! Nimesema itakusaidia sasa km wewe ni kilaza usinipotezee muda time is precious!
 
Jamaa kafall in love kwa fake ID na avatar fake,vipi akiwa ni mwanaume mwenzako?
 
Usipangie watu cha kuongea wewe bloodfuken ungeenda PM yake
Haya nashukuru kwa kuwa unajua sana kutukana lkn sidhani kama tusi hilo ni jipya maana nilizaliwa nikalikuta zamani nadhani ungetafuta somethng new ingekuwa vizuri zaidi
 
Haya nashukuru kwa kuwa unajua sana kutukana lkn sidhani kama tusi hilo ni jipya maana nilizaliwa nikalikuta zamani nadhani ungetafuta somethng new ingekuwa vizuri zaidi
Nenda kabemendwe huko fala wewe
 
Back
Top Bottom