Mamndenyi popote ulipo wewe ni zaidi ya mwanamke

Mkuu umeeleweka kabisa japo naona ulikuwa unaandika kwa jazba na mhemko sio tatizo.Ningependa urudie uzi vizuri na uelewe dhana yake,lkn pia kama kumuita mdada ndio kinacho jaza kifua chako relax young boy ni mambo ya kawaida.
 
Nenda mwisho wa uzi wangu ndipo ujumbe ako ulipo..! Nimesema itakusaidia sasa km wewe ni kilaza usinipotezee muda time is precious!
 
Jamaa kafall in love kwa fake ID na avatar fake,vipi akiwa ni mwanaume mwenzako?
 
Usipangie watu cha kuongea wewe bloodfuken ungeenda PM yake
Haya nashukuru kwa kuwa unajua sana kutukana lkn sidhani kama tusi hilo ni jipya maana nilizaliwa nikalikuta zamani nadhani ungetafuta somethng new ingekuwa vizuri zaidi
 
Nenda kabemendwe huko fala wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…