Mamneno yepi ya kutongozea baada ya kujulia hali ?

Mamneno yepi ya kutongozea baada ya kujulia hali ?

Babylon

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2009
Posts
1,332
Reaction score
83
Kwa muda mrefu limekuwa linanipa tabu swali hili naomba msada wenu .
 
Eeeeeh bwana eeeh, hivi bado kuna kutongozana? upo age ya dot com kijana, mambo ya kumwaga sera yamepitwa na wakati.

Unamwambia tu, nimekuusudu nipe "mchezo".
 
Sifia anza macho mpaa masikio, afu unaeleka kwenye sura bada ya hapo unaelekea kwenye figa, na kama ikiwezekana toa na sifa kwa mavazi yak, viatu, mobile fone yake, yani we tafuta kila kitu usifie.

Afu njoo uniambie, mwanamke usimtukane dogo hao malaika wa dunia, mwanamke mpe misifa tu uone dunia inavyo enda.

All the best, dogo 😛oa
 
hiyo style ya kizamani mkuu
 
Tafuta pesa wewe acha ujinga wa kutafuta maneno! Mwanamke wa maneno labda ukakamate binam zako kwenu huko!

hv we hujajua kuwa mwanamke huvutiwa na maneno zaidi ya pesa na hizo hela ni access ya wewe unayetaka kuitwa Atm
 
nunua chup ya guchi,alaf katkat ina kitobo,mwenyewe atakuambia twende geto,hapo ushindwe wewe2.
 
Tafuta hela,pesa uchawi wa kizungu!!!
Utakua unatongozwa wewe sasa!
 
mwambie"oyaaa mi ndo nshakuzimia km vipi sogeza nichape,usimind bebi au vp" subir jibu hapo:wink2:
 
mwambie ana shingo ya upanga na macho ya gololi.
 
Tafuta pesa wewe acha ujinga wa kutafuta maneno! Mwanamke wa maneno labda ukakamate binam zako kwenu huko!

Rafiki , be calm ! Ushauri wangu wa bure , punguza ukali wa maneno ni member mwenzio huyu ! Mbona katoa hoja ya kawaida tu !
 
nenda straight mwaya mwambie...'dada/asha/rose au jina lake...nimekupenda na ningependa tuwe wote maishani' kwa tone ya upole ila iko firm....mwenyewe ataingia line....all the best.
 
Mwambie unataka kukutanisha makojoleo yenu.
MP.
 
Kwa muda mrefu limekuwa linanipa tabu swali hili naomba msada wenu .
Haha!Dogo kaa ukijua wanawake hawana formula!Yeyote utakayotunga wewe anaweza nasa!Soma mood kwanza,sio jua kali unaomba kumnunulia chai!
Ni PM nikutumie e-book itakayokusaidia kuwazoa,if you are 'that' desperate to know.
 
Back
Top Bottom