MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Hebu soma comment zako kwenye uzi huu hapa, ukisema kwamba GoT wameshapokea hela za korosho kutoka kwa Mutembei na Indopower Solutions.
Eti na tuache kuwaonea wivu. Nilikuambia siku nyingine kwamba I remember everything, everything! https://www.jamiiforums.com/threads...-deal-hapa-kuna-game-inachezwa.1546979/page-3 Hawa jamaa huwa wanajaza server na pumba tupu tu na ujuaji wao mwingiii, wa peni mbili.
Walivyo mazwazwa hawaweki kumbukumbu ya wanachokisema humu, bendera fuata upepo wanatiririka kulingana na maagizo ya pale ccm HQ.
Huyu hapa hata hakumbuki huo Uzi.