Hebu soma comment zako kwenye uzi huu hapa, ukisema kwamba GoT wameshapokea hela za korosho kutoka kwa Mutembei na Indopower Solutions.
Eti na tuache kuwaonea wivu. Nilikuambia siku nyingine kwamba I remember everything, everything!
https://www.jamiiforums.com/threads...-deal-hapa-kuna-game-inachezwa.1546979/page-3 Hawa jamaa huwa wanajaza server na pumba tupu tu na ujuaji wao mwingiii, wa peni mbili.