Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
Kumbe game ya City na Spurs imeanza?? Nilikuwa nimelala ngoja niwahi pub japo kipindi cha pili..
The best game of the year IMO
Magoli ya timu zote yamefungwa ndani ya dakika 9, simchezo.
Hawa City wapo wapo tu. Wana mmiss sana Yaya Toure pale kati.
City ni timu ya kawaida kabisa, wala siwapi nafasi sana ya kuchukua ubingwa.
City ni timu ya kawaida kabisa, wala siwapi nafasi sana ya kuchukua ubingwa.
Kipindi cha kwanza kilikuwa kibovu mpaka nikaomba mpira uishe twende EmiratesDuh! Umeangalia kweli kipindi cha kwanza?! Au kuna mechi tofauti unaangalia?!
Bila shaka wewe utakuwa mshabiki wa Mashetani wekundu