Howard katoa penati dakika za mwisho daa, matokeo yalikua mazuri kabisa haya.
Lakini ile stamp ya Balotelli kwa Parker unaonaje? Naona kama alikusudia kabisa!
Kwa hiyo matokeo ya mwisho?Noma sanaaaa, matokeo yamechafuka.
Kwa hiyo matokeo ya mwisho?
Kama kawa pale sub yupo kiboko yenu Park Ji SungChamberlain anaanza leo, United mmekwisha.
Nimetangaza ushindi rasmi.
Kama kawa pale sub yupo kiboko yenu Park Ji Sung