Kivipi mkuu wakati naona anamwaga maji sanaBaada ya utafiti mfupi, nimegundua kuwa Doku ni tapeli.
Tulia wewe, naendelea kubana mbupu na maweHata kama aliwazalo mjinga ndio litakalomtokea ila kwa hili wacha tu nikuone mwerevu
Mwisho ujihasi kwa vitu ambavyo hata wewe mwenyewe unajua haiwezekaniTulia wewe, naendelea kubana mbupu na mawe
Unatuonea waleviMan city ushindi uhakika, usiwasikilize walevi 😎
Uko sahihi, ubingwa utarudi nyumbani Etihad mikono salamaMan city ushindi uhakika, usiwasikilize walevi 😎
Everton kakosa hukoMwisho ujihasi kwa vitu ambavyo hata wewe mwenyewe unajua haiwezekani
Mkishalewa mnaropoka, Ndo kama huyu mtoa mada 😎Unatuonea walevi
Uzi umenipasua moyo nikajua man city kapigwa 😅Mkishalewa mnaropoka, Ndo kama huyu mtoa mada 😎
Tapeli kafunga 😂Baada ya utafiti mfupi, nimegundua kuwa Doku ni tapeli.
Ngoja tuone muongozo !Pickford golini leo hatoruhusu chuma iingie.
Beto atawela chuma tunamaliza mchezo.
Tayar ameshagonga mtuUzi umenipasua moyo nikajua man city kapigwa 😅
Ye ankosa wenzake wanawekaEverton kakosa huko