CalvinPower
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 1,634
- 1,001
Mhindi anajua kuwa wengi watachagua man city, ila anajua kuwa leo city hii mechi sio muhimu kwao, wamepumzisha wachezaji. soMhindi ana utani na mikeka
Hii mechi haitawatokea puani maana haibadilishi chochote kwenye mpagilio wa group lao.Washafungwa mbili zero,hawa hawako serious na mechi na itawatokea puani