Man City B leo kucheza Champions League

Man City B leo kucheza Champions League

CalvinPower

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Posts
1,634
Reaction score
1,001
man city vs donesky.png
 
Washafungwa mbili zero,hawa hawako serious na mechi na itawatokea puani
 
Washafungwa mbili zero,hawa hawako serious na mechi na itawatokea puani
Hii mechi haitawatokea puani maana haibadilishi chochote kwenye mpagilio wa group lao.
ila kikosi chao ni hewa kabisa, hawa jamaa wapya pass zao sio accurate halafu opponent anapopata mpira wao wanawasindikiza tu, kikosi hichi kikicheza premier basi ni kupoteza mwanzo mwisho.
Yaya Toure sio yule wa kipindi kile,
Man city alikuwa anakutana na timu zinazodifend tu, leo kakutana na timu zinatotaka ushindi.
Pale mid field alihitajika mtu mwenye mguu wa kushoto zaidi kuliko wa kulia.

Mkeka umeungua bila kutoa moshi.
 
Kapigwa bakora tu hakuna Mancity a wala b ni mancity ileile
 
Back
Top Bottom