Mzuqa wanajf!
Kuna kakiburi flani kimewaingia wachezaji wa citee. Yani kufunga funga magoli mengi hivi karibuni hawa wachezaji wamekuwa Na nyodo Na ngebe. Hasa haka kabelgiji Kevin de Brueyne.
Ligi bado changa Na mbichi hatujafika hata krismasi. Kocha wao Guardiola ni mzuri. Je ni kwasababu ya ukali wake Guardiola na kuwanyima vijana wake wasinywe kokakola (Coke) imesababisha kiwango Chao kipae. Nasikia jamaa strict sana mkali Na authoritarian dikteta flani hata kwenye changing room hatiki makelele Na story.
Ila waache ngebe