Man city leo kafunga kama la Simba, mbona limekubaliwa?

Man city leo kafunga kama la Simba, mbona limekubaliwa?

Vitu kama hivi uwe unaleta na ushahidi hapa sio lazima tuanze kutafuta ndio turudi tena kujadili.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC.
JamiiForums-31645776.jpeg
 
Mmoja kaukwepa mwingine kaugusa. Inakuaje sawa?

Cc Aden Rage.
 
Back
Top Bottom