Hamtuwezi hata ulalamike vipi.View attachment 640897dakika 90 zimekwisha refa kaongeza dakika 5 ila kasubiri mpaka wamepata goli ndio kamaliza mpira poor epl,inamaana kama wasingepata goli mechi isingeisha......dah
UmekurupukaHamtuwezi hata ulalamike vipi.
anabebwa epl ... na uefa je? mbona kote anatoa dozi,
Kwenye mpira kuna mda wa dakika 90. na Refa huchezesha zaidi ya hizo hata kama hakuna majeruhi, kwasababu kuna delays huwa zinafanyika kwenye mchezo.
Kuna extra minutes to the end of each half of your game hii inaitwa "injury time" na ktk huo muda wa injury time kuna kuwa na delays ambazo wachezaji wanaziweka mfano mchezaji kaumia katika huo muda au wanapochelewa kurusha mipira kwa makusudi na refa akagudua kwa hilo basi zile dakia zilizoongezwa huwa zinaongezeka. In these cases he can add the time to his personal accounting.
usifananishe timu yako na man city mkuu, man city is another level.
Umeandika Mancity amebebwa. na mm nikakujibu hapana ni mpira huo. kwanini usinieleweshe tu.Acha kukurupuka mkuu soma vizuri nilichoandika
Ni sawa dakika ziliongezwa tano. ila vilevile ndani ya hizo tano kuna delays huwa zinafanyika na muda unaongezeka, sio kwa city tu angalia mechi nyingi tu.Msikurupuke someni hiyo livescore hapo nliyoscreenshoot dakika ziliongezwa 5 ila refa aliendelea kuchezesha hata hizo zilizoongezwa zilipoisha mpk goli lilipopatikana ndo kamaliza mechi dahhhh walimu wana tabu mashuleni aseeeeh
Ok mkuu sorry,nimekusomaNi sawa dakika ziliongezwa tano. ila vilevile ndani ya hizo tano kuna delays huwa zinafanyika na muda unaongezeka, sio kwa city tu angalia mechi nyingi tu.
Ukisema waliimu wana tabu sana mashuleni unatokosea mkuu. ila kama wewe ni mfuatiliaji sana wa mpira basi utaelewa kabisa sio mechi zote mpira unaisha exactly huo muda.
Nimekujibu hivi kulingana na kuona ktk mechi nyingi tu.
[emoji2]Ninakuambia ni kawaida kwa mpira nakupa na kumbukumbu za nyuma,
manchester united vs manchester city 20 september 2009
Man United vs Man City 4-3 [Premier League 2009/10]
man United walipata goli la ushindi dakika ya 96.
mda ulioongezwa ni dakika 4 tu. ila walikipiga mpaga 96.
ni kawaida sana na huwa hakuna anaesema Fulani kabebwa.
man city wanabebwa..faulo unazopewa wewe kadi ya njano wao hawapewi..Barcelona walianza kubebwa siku ya faina uefa na arsenal..mchezo ukaendelea hadi leoMan city hajawahi kubwa,,,,ni kama timu bora duniani/barcelona wachache sana wanadai huwa wanabebwa lakini sio kweli....anaejuwa anajuwa.
Mmmmh! Utakuwa Shabiki wa Mashetani ww, mana wao ndo waliumia zaidi kuliko The Saints.View attachment 640897dakika 90 zimekwisha refa kaongeza dakika 5 ila kasubiri mpaka wamepata goli ndio kamaliza mpira poor epl,inamaana kama wasingepata goli mechi isingeisha......dah