Sasa hapo kuna kosa gan kwan ww na FA nani mwenye akiliMsikurupuke someni hiyo livescore hapo nliyoscreenshoot dakika ziliongezwa 5 ila refa aliendelea kuchezesha hata hizo zilizoongezwa zilipoisha mpk goli lilipopatikana ndo kamaliza mechi dahhhh walimu wana tabu mashuleni aseeeeh