Man city mtabebwa mpaka lini?

Msikurupuke someni hiyo livescore hapo nliyoscreenshoot dakika ziliongezwa 5 ila refa aliendelea kuchezesha hata hizo zilizoongezwa zilipoisha mpk goli lilipopatikana ndo kamaliza mechi dahhhh walimu wana tabu mashuleni aseeeeh
Sasa hapo kuna kosa gan kwan ww na FA nani mwenye akili
 
Ina maana zinapoongezwa hizo za nyongeza team pinzani huwa inakuwa imeshaondoka uwanjan wameachwa man city peke yao au na wao wanakuwepo? Kwa nin team pinzan hazitumii nazo dk hizo kushinda?
 
Mleta uzi atakuwa amebemendwa au dish limeyumba analazimisha maji kwenye gunia
 
sasa referee alijuaje kma city wata funga dkk ya 96? what if soton wange funga unge semaje?
 
Man City wanabebwa?

Wewe jamaa utakuwa na undugu na Manara sio bure.
 
Ni kama mechi ya simba vs Mtibwa..refa alisubiria pigo la adhabu wakati mpira umekwisha 90+4..Simba wakafunga dk 96.,.wakati kwenye mpira penalt peke yake ndio inasubiriwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…