The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Yaani hata wacheze vizuri kiasi gani, majini huwa yamewakataa.Ongeza Valencia na Atletico Madrid
Wote wamepoteza fainali zote walizocheza.
Ametwaa Sana na Bercelona,bado Kwa Man CityHakuna cha matambiko wala nini, itoshe tu kusema kuwa Mwacity na kocha lake libaguzi likuu la rangi na utaifa "Pep Kipara" wasiendelee kuvimba mabichwa kuwa ni timu kubwa saaana la hasha! bali uzuzu wa pesa za Waarabu kwa fitina zao ndiyo unawasumbua tu.
Pep Kipara awaombe radhi Samuel Eto'o na Yaya Toure kuhusu ubaguzi wa rangi (uafrika) labda laana asilia ya ulimwengu itamkumbuka kumpatia kombe la UEFA champions league [emoji847]
Barcelona itoe maana haijatambika, kombe hili hufuata upepo kama sumaku.Ndio hivyo wakuu..
Hizo timu zikatambike wanakoendaga R.Madrid, Liverpool na Bercelona ndio zitaweza kushinda hilo kombe la UCL.
Bado Atletico MadridNdio hivyo wakuu..
Hizo timu zikatambike wanakoendaga R.Madrid, Liverpool na Bercelona ndio zitaweza kushinda hilo kombe la UCL.
Kutwaa mara 2 na Barcelona ndiyo kutwaa sana, sasa hao akina Real Madrid, AC Millan na Liverpool wasemeje [emoji848][emoji16]Ametwaa Sana na Bercelona,bado Kwa Man City
Man city hapo walipo ni kwenye peak maana wachezaji wao wengi hodar umri umewatupa mtu kama KDB wa Sasa sio yule wa miaka miwili iliyopita unamuona anakimbia Kila sehemu mpaka uso unakuwa mwekundu.Man City binafsi naona bado ni timu nzuri hata kaliba ya wachezaji walionao ni mapema kuwapima kwa mechi kubwa na timu kubwa duniani kama Real Madrid siku za usoni tutarajie makubwa kwao.
PSG hawana tofauti na Man City tofauti ni ndogo sana. Don Carlo Ancelotti akiwa kocha wa PSG aliwahi kuambiwa na Al Khelafi kama watatole na FC Porto basi hana kibarua. Don alishangazwa na kauli kwanza aliona hana umuhimu wa kuwa hapo isipokuwa mafanikio yananuliwa. Mpira na uwekezaji wake ni project inayohitaji muda mrefu hayapimwi na mchezaji mmoja mmoja kuwa na Messi, Mbappe na Neymar haitoshi unahitaji kuwa na watu zaidi ya timu.
Juventus kuna muda unashindwa kuwaelewa project yao nini ? Kibibi kizee cha Turin wakati wanafanya usajili wa Dusan Vlahovic , akiwa mfungaji anayeongoza kwa magoli kwenye ligi anashindwa kufunga kwa kukosa mtu anayeleta muungano kati yake na Dusan. CR7 akiwa Juventus wakicheza dhidi ya Ajax wakiwa na De Ligt, Ziyech na Tadic wanakufa 2-1 Turin unaona kabisa timu haichezi wote wanamuangalia CR7 unahitaji zaidi ya timu linapokuja suala la mashindano makubwa kama UEFA CL. Siku za usoni uwekezaji wao utawalipa kama watafanya mbadala wa Bonucci,Chiellini, Sandro, Dybala anahitaji changamoto mpya, Cuadrado pia si mbaya akapewa mkono wa kwa heri. Nakuruhu damu kama Demiral , Chiesa, Dusan na kina Locatteli nakuongeza sura mpya za wapamabanaji kama kina Scamacca.
Marco Polo:Man city hapo walipo ni kwenye peak maana wachezaji wao wengi hodar umri umewatupa mtu kama KDB wa Sasa sio yule wa miaka miwili iliyopita unamuona anakimbia Kila sehemu mpaka uso unakuwa mwekundu.
Wakati wewe mwafrika ukiendelea kuwaza porojo zinazoitwa laana mwenzako anaenda kujiuliza walipokosea mwakani anarudi tena kwenye mashindano.Hizi myth ni porojo tu zasisi tusioweza chochote au kua na fikra za mambo makubwa.Ndo maana tunaowawazia huo ujinga wao wala hawana huo muda.Hakuna cha matambiko wala nini, itoshe tu kusema kuwa Mwacity na kocha lake libaguzi likuu la rangi na utaifa "Pep Kipara" wasiendelee kuvimba mabichwa kuwa ni timu kubwa saaana la hasha! bali uzuzu wa pesa za Waarabu kwa fitina zao ndiyo unawasumbua tu.
Pep Kipara awaombe radhi Samuel Eto'o na Yaya Toure kuhusu ubaguzi wa rangi (uafrika) labda laana asilia ya ulimwengu itamkumbuka kumpatia kombe la UEFA champions league [emoji847]