Wakati wewe mwafrika ukiendelea kuwaza porojo zinazoitwa laana mwenzako anaenda kujiuliza walipokosea mwakani anarudi tena kwenye mashindano.Hizi myth ni porojo tu zasisi tusioweza chochote au kua na fikra za mambo makubwa.Ndo maana tunaowawazia huo ujinga wao wala hawana huo muda.