Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Hivi yaya toure yupo wapi kwa sasaGuadiola ana laana ya yaya toure, mpaka akamuombe samahani.....[emoji41]..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi yaya toure yupo wapi kwa sasaGuadiola ana laana ya yaya toure, mpaka akamuombe samahani.....[emoji41]..
Sawa Haji Manara wa Pep Kipara [emoji16]Wakati wewe mwafrika ukiendelea kuwaza porojo zinazoitwa laana mwenzako anaenda kujiuliza walipokosea mwakani anarudi tena kwenye mashindano.Hizi myth ni porojo tu zasisi tusioweza chochote au kua na fikra za mambo makubwa.Ndo maana tunaowawazia huo ujinga wao wala hawana huo muda.