ndio ukabet upate hela Acha kutupigia lamliHello wakuu kwema kwanza nikiri kuwa hawa jamaa Man city kwa sasa wapo vizuri ila kwa uzoefu wangu kama mchambuzi nawaona wakianza kuangusha point very soon hazitapita mechi 3 bila wao kupotea either kwa kufungwa au kudraw mark my words
Mnajibu na mtabiri bingwa Africa mashariki na katiMan city ataendelea kuwaburuza wenzake na ataingia mechi 20 mfululizo bila kupoteza, mark my words too
Kati ya liverpool au crystal kuna mmoja atamuua .........ila naiamini sana ctystal katika hilo
Nenda ukabet mkuuMan City ataongoza kwa muda, raundi ya pili kuanzia January ataanza kupoteza mechi. Ubingwa utakuwa wa CHELSEA.. mark my words. Mwezi wa tano wakati CHELSEA anabeba kombe mtakumbuka maneno yangu. Tena watapishana na Man City kwa "point" moja au mbili.
Dua ya ....Hello wakuu kwema kwanza nikiri kuwa hawa jamaa Man city kwa sasa wapo vizuri ila kwa uzoefu wangu kama mchambuzi nawaona wakianza kuangusha point very soon hazitapita mechi 3 bila wao kupotea either kwa kufungwa au kudraw mark my words
Una matatizo siyo bure.Man City ataongoza kwa muda, raundi ya pili kuanzia January ataanza kupoteza mechi. Ubingwa utakuwa wa CHELSEA.. mark my words. Mwezi wa tano wakati CHELSEA anabeba kombe mtakumbuka maneno yangu. Tena watapishana na Man City kwa "point" moja au mbili.
mark my words
Mwambie chelsea apambane na man u kwanza zen ndio amtafute cty ,ukweli ni ngumu kumpata cty kwakua cty anawafunga hao wanaomkimbiza wakati wanaomkimbiza wanafunganaMan City ataongoza kwa muda, raundi ya pili kuanzia January ataanza kupoteza mechi. Ubingwa utakuwa wa CHELSEA.. mark my words. Mwezi wa tano wakati CHELSEA anabeba kombe mtakumbuka maneno yangu. Tena watapishana na Man City kwa "point" moja au mbili.
Mark my words="Tunza maneno yangu maana yanaweza kuwa kweli"Tuwekee haya maneno kwa kiswahili nkuu.
Ahahaaaaaaaaaaah...Man City ataongoza kwa muda, raundi ya pili kuanzia January ataanza kupoteza mechi. Ubingwa utakuwa wa CHELSEA.. mark my words. Mwezi wa tano wakati CHELSEA anabeba kombe mtakumbuka maneno yangu. Tena watapishana na Man City kwa "point" moja au mbili.
Ahahaaaaaaaaaaah...Kwahiyo akipoteza zingine ndio zitashinda? Naona kama Man yuu, Chelsea, Arsenal zikipoteza zaidii
Ahahaaaaaaaaaaah...Kati ya liverpool au crystal kuna mmoja atamuua .........ila naiamini sana ctystal katika hilo
Mark my words="Tunza maneno yangu maana yanaweza kuwa kweli"