Man city will soon start to drop points

Man city will soon start to drop points

Hiyo hapochini fixture ya city. Kuna wa kumsumbua?
Screenshot_20171222-122218.png
 
Hello wakuu kwema kwanza nikiri kuwa hawa jamaa Man city kwa sasa wapo vizuri ila kwa uzoefu wangu kama mchambuzi nawaona wakianza kuangusha point very soon hazitapita mechi 3 bila wao kupotea either kwa kufungwa au kudraw mark my words
And so is the chasing pack.

Sasa hivi ni kama tairi za nyuma za gari moja zinazikimbiza tairi za mbele.
 
Man city ataendelea kuwaburuza wenzake na ataingia mechi 20 mfululizo bila kupoteza, mark my words too
 
Back
Top Bottom