Man City yachinjwa nyumbani! Brentford yafanya ukurung'unzu UGENINI!

Man City yachinjwa nyumbani! Brentford yafanya ukurung'unzu UGENINI!

Unaweza kuta Arsenal nae anapigwa leo kama ngoma
 
Hayaga kila mtu apambane sio wengine wale uroda ujauzito washike wengine.
 
Mechi za kuanzia saa 4 arsenal huwaga tuna gundu nazo tunaweza kupigwa ..ila Arteta mpaka sasa lazima apange fully mtiti ili kujihakikishia ushinda.

The gunners
 
Huyo Edo kumwembe ndio nani?isije ikawa ni yule zecomedy anayesemaga double paivoti,kwenye shimo la kati [emoji276]
 
Kweli Ngoma ikivuma sana ujue inapasuka. Naona Haaland kakata moto sasa
 
Back
Top Bottom