Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Mazungumzo ya kibiashara kati ya Manchester City na Lille kuhusu dili la kiungo fundi Ayyoub Bouaddi yamekamilika ili kiungo huyo ahamie katika klabu ya Manchester City.
Bouaddi raia wa Morocco mwenye umri wa miaka 18 amekuwa shabaha kamili ya Manchester City baada ya uhamisho wa Rodri kukamilika kuelekea Barcelona na kuacha pengo katika eneo la kiungo.
Inatajwa kuwa, Euro milioni 100 sawa na shilingi za Kitanzania zipatazo bilioni 300 ndizo zitakazokamilisha uhamisho huo, ambapo hii leo kiungo huyo atakamilisha vipimo vya kiafya atakapofika Etihad.