Manchester City imeshatuma ofa ya €68m kwa Leicester City kwaajili ya kumsajili winga Riyad Mahrez ambaye Pep Guardiola anaamini atakuwa mbadala wa Leroy Sane.
Leroy Sane ameumia kwenye mchezo wa FA Cup wikiendi iliyopita ambapo atakaa nje kwa wiki 7 hadi 9 .