Man City yatua kwa Leicester.

Man City yatua kwa Leicester.

Salah mane

Member
Joined
Jan 28, 2018
Posts
15
Reaction score
13
Manchester City imeshatuma ofa ya €68m kwa Leicester City kwaajili ya kumsajili winga Riyad Mahrez ambaye Pep Guardiola anaamini atakuwa mbadala wa Leroy Sane.

Leroy Sane ameumia kwenye mchezo wa FA Cup wikiendi iliyopita ambapo atakaa nje kwa wiki 7 hadi 9 .

Via
France Football
ee0b2b052f527b3f8f26098c1b152b1f.jpg
 
Kila la kheri, majirani watakua wamepata mchezaj mzuri na ni aina ya wachezaji wa pep
 
Back
Top Bottom