mpenda pombe
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 1,406
- 711
Mandojo Na Domokaya acheni uchoko, kama hamkutoka na ulbum yenu ya 2004. Basi tena coz sioni umuhimu wa FA kua meneja wenu wakati ni mtu mlianza nae muziki back in days. What went wrong with u?..Dnt giv the ---- kua mtumwa hadi unakufa kwa uteja, what the HELL ARE THEY? [Ruge & Co]............
I knw deep dwn in yo hearts u all undstand they ruined yo career hata mkawa mateja then mwawaramba miguu tena on daily basis...
Hawana hamu na jay dee na gadner maana mauzo ya album ya taswira waliyaweka kapuni yote
Acheni majungu ya kike wa shamba nyie. Kwani kuna ubaya gani kwa kuwa chini ya FA? Unakurupuka kwenu huko machungani hata xcova hauja xcovar una kuja kuleta habari za ki fofokera aqui. Eu penco una bolada ya maana kumbe ni umbea tu. Tamos cansado pah
Hakuna kipindi ambacho hao jamaa hawakuwa mateja i.e kabla na baada ya kufanya muziki ni mateja wazuri tu,...i know them well.
jifunze tofauti ya mteja na mla ganja..