Man dojo na domo kaya...

Man dojo na domo kaya...

mpenda pombe

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
1,406
Reaction score
711
Mandojo Na Domokaya acheni uchoko, kama hamkutoka na ulbum yenu ya 2004. Basi tena coz sioni umuhimu wa FA kua meneja wenu wakati ni mtu mlianza nae muziki back in days. What went wrong with u?..Dnt giv the ---- kua mtumwa hadi unakufa kwa uteja, what the HELL ARE THEY? [Ruge & Co]............

I knw deep dwn in yo hearts u all undstand they ruined yo career hata mkawa mateja then mwawaramba miguu tena on daily basis...
 
Hehee safi sana, hayo ndio mafanikio ya muziki nchini,

Nasubiri siku nisikie Haruna Moshi Boban akiwa meneja wa Kaseja, Yondani, Twite, Kapombe nk
 
hawa jamaa hawana shukrani ata kidogo ngoja wasande wakichoka warudi wakaendeshe boda boda matejoo na kwa morombo.
 
Mandojo Na Domokaya acheni uchoko, kama hamkutoka na ulbum yenu ya 2004. Basi tena coz sioni umuhimu wa FA kua meneja wenu wakati ni mtu mlianza nae muziki back in days. What went wrong with u?..Dnt giv the ---- kua mtumwa hadi unakufa kwa uteja, what the HELL ARE THEY? [Ruge & Co]............

I knw deep dwn in yo hearts u all undstand they ruined yo career hata mkawa mateja then mwawaramba miguu tena on daily basis...

Hakuna kipindi ambacho hao jamaa hawakuwa mateja i.e kabla na baada ya kufanya muziki ni mateja wazuri tu,...i know them well.
 
Hawana hamu na jay dee na gadner maana mauzo ya album ya taswira waliyaweka kapuni yote
 
mwanafatuma tena amekuwa wakala wa rugay!:shock:

kuish kwingi ni kuona mengi:kev:
 
Acheni majungu ya kike wa shamba nyie. Kwani kuna ubaya gani kwa kuwa chini ya FA? Unakurupuka kwenu huko machungani hata xcova hauja xcovar una kuja kuleta habari za ki fofokera aqui. Eu penco una bolada ya maana kumbe ni umbea tu. Tamos cansado pah
 
nimeona wamefungua maduka yao ya viatu pale Kariakoo...
Ila the way nilivyowaona na jinsi navyowajuwa Majunki ni dhahiri shahiri kuwa hawa washkaji ni mateja
 
Acheni majungu ya kike wa shamba nyie. Kwani kuna ubaya gani kwa kuwa chini ya FA? Unakurupuka kwenu huko machungani hata xcova hauja xcovar una kuja kuleta habari za ki fofokera aqui. Eu penco una bolada ya maana kumbe ni umbea tu. Tamos cansado pah

ni maoni yake mkuu,,kama umeskia uchungu sana kazae
 
Hakuna kipindi ambacho hao jamaa hawakuwa mateja i.e kabla na baada ya kufanya muziki ni mateja wazuri tu,...i know them well.

jifunze tofauti ya mteja na mla ganja..
 
Back
Top Bottom