Man Fongo anyang'anywa gari na aliyekuwa meneja wake

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Baada ya kuachana meneja wake amemnyang'anya gari Man Fongo baada ya kutofautiana

================================================

Shilawadu wamepenyeza taarifa za mkali wa Singeli afahamikae kama Man Fongo kuwa ametofautiana na G Maker ambaye ndiye alikuwa meneja wake katika kazi zake za kimuziki.Shilawadu wakaendambali zaidi na kumfikishia Soudy Brown taarifa za meneja huyo kumnyang’anya gari Man Fongo, gari ambayo Fongo alikuwa akiitumia kwa matembezi yake hapa na pale.

Soudy Brown akaona ili kukamilisha mchongo inabidi awavutie waya wote wawili na akafanikiwa kupiga nao story,
Mazungumzo ya Soudy Brown na washkaji hao wawili nimekuwekea kwenye video hii hapa chini bonyeza play ili uweze kusikiliza mwanzo hadi mwisho.

Source; Blogu ya Wananchi
 
Watoto wa uswazi hasa kama huna elimu na exposure ndio shida yake hii
 
Dume zima litapewaje gari bana! sijawahi kuona mwanaume analalamika eti kanyang'anywa gari
 
Kuna mtu kaniambia niende kwake nikachukue gari nilitumie kwa ajili ya kutembelea tu.....haka kamkasa kananifunza jambo, hata kabla ya kwenda kulichukua hilo gari napata kigugumizi tangu mwaka Jana...hadi sasa nakumbushiwa...nmejifunza!!!!!!
 
Yaan!! P1 na show zote zle
Za fiestan hakuambulia
Hata 6 m akachanganya
Na zake akapata ndinga yake
 
Yaan!! P1 na show zote zle
Za fiestan hakuambulia
Hata 6 m akachanganya
Na zake akapata ndinga yake
Nyimbo iliyompa kiki hainaga ushemeji aliiba kwa dogo mmoja "alimdhulumu"

Sholo mwamba amemtoa manfongo mbali huyu manfongo alikuwa dj wa sholo mitaani saizi anajiona star anamkataa sholo na anamfanyia bifu

Lazima upotee ,haki yake
 
Oooh! Alichokitafta amekipata
Sasa atarud tu kitunda
 
Kuna mtu kaniambia niende kwake nikachukue gari nilitumie kwa ajili ya kutembelea tu.....haka kamkasa kananifunza jambo, hata kabla ya kwenda kulichukua hilo gari napata kigugumizi tangu mwaka Jana...hadi sasa nakumbushiwa...nmejifunza!!!!!!
mmmh.......Napata shaka
 
Labda iwe ya baba kila mtu ajue nko na gari ya mzee haiumizi sana.... Usithubutu mkuu utakuwa mtumwa

Sent from my TECNO-H3 using JamiiForums mobile app
 
mmmh.......Napata shaka
Unapata shaka ya nini ndugu....au nawe umepewa gari ulitumie bure ktk mizunguko yako?
Labda iwe ya baba kila mtu ajue nko na gari ya mzee haiumizi sana.... Usithubutu mkuu utakuwa mtumwa

Sent from my TECNO-H3 using JamiiForums mobile app
Hapo kweli...ngoja kichwa kichemke kwanza ndipo niamue....kama mbeleni ndio mambo huwa hivi basi ni hatari
 
Kuna mtu kaniambia niende kwake nikachukue gari nilitumie kwa ajili ya kutembelea tu.....haka kamkasa kananifunza jambo, hata kabla ya kwenda kulichukua hilo gari napata kigugumizi tangu mwaka Jana...hadi sasa nakumbushiwa...nmejifunza!!!!!!
huyo mtu ni mwanamke ama mwanaume?
 
Back
Top Bottom